A B C D E F G H I J K L M N O P R S T U V W X Y Z

  

Vile unaweza kumuambia daktari kuhusu kichwa chako kuumwa. Come spiegare al dottore del vostro mal di testa


  

Ni muhimu sana kuwa na amali ya maana siku hizi. Je, unaweza kuwa mmali bila kujua lugha za kigeni? Ni vigumu mno. E` molto importante avere un buon lavoro al giorno d`oggi. Puoi essere professionale senza conoscere lingue straniere? Difficilmente!


  

Usikose funzo la maana kushinda yote! Dumisha amani sio vita. Non perdete la lezione più seria di tutte! Fate l`amore, non fate la guerra!


  

Mama, baba, jamaa. Familia ni muhimu sana maishani. Madre, padre, parenti. La famiglia è la cosa più importante nella vita


  

Uko ugenini na unataka kukodisha gari? Lazima ujue pale usukani uko. Siete in un paese straniero e volete noleggiare un`automobile? Prima dovete sapere dove ha il volante


  

Jua dunia pale unakaa. Conoscete il mondo in cui vivete


  

Hakuna hali ya hewa mbaya. Non c`è brutto tempo, tutti i tempi vanno bene


  

Yote kuhusu upendo, chuki na mguso. Tutto riguardo amore, odio, olfatto e tatto


  

Dumisha hulka, mamako!. Preservate la natura, vostra madre!


  

Usipotee kwa jiji kubwa. Uliza vile unaweza kwa jumba la Opera. Non perdetevi in una grande città. Chiedete come potete arrivare al Teatro dell`Opera


  

Usifanye kazi sana. Pumzika. Jifunze kuhusu maneno ya kazi. Non lavorate troppo. Prendetevi una pausa, imparate parole relative al lavoro


  

Je unapendelea inchi ama Sentimita? Uko kwa metric bado?. Preferite pollici o centimetri?


  

Songea pole pole, endesha gari kwa usalama. Muovetevi lentamente, guidate in modo sicuro


  

Maisha yetu yangekuwaje bila sanaa? Chombo nduni. Cosa sarebbe la nostra vita senza l`arte? Una conchiglia vuota


  

Maisha ni mafupi, jifunze kusuhu sehemu zote kuanzia kuzaliwa hadi kifo. La vita è breve. Imparate tutto sulle sue fasi, dalla nascita alla morte


  

Makanisa, Majumba ya sinema, Stesheni za gari moshi. Chiese, teatri, stazioni, negozi  

Yote kuhusu shule, chuo , chuo kikuu. Tutto su scuola, collegi e università


  

Sehemu ya pili ya funzo maarufu kuhusu mifumo ya masomo.. Seconda Parte della nostra celebre lezione sui processi educativi


  

Vile unapaswa kuvaa ndio uonekane mzuri na ukae na joto. Tutto su cosa mettere per apparire eleganti e stare al caldo


  

  

Mda unayoyoma, Hakuna mda wa kupoteza! Jifunze kuhusu mda kupitia mtambo wa Polyglot sasa hivi!. Il tempo scorre


  

Usipoteze mda wako. Jifunze maneno mapya. Non perdete il vostro tempo! Imparate nuove parole


  

Furahia, Yote kuhusu soka, sataraji, mkusanyiko wa michezo. Divertitevi. Tutto su calcio, scacchi e collezioni di fiammiferi


  

Jifunze kuhusu mazingira yetu. Yote kuhusu mimea: miti, maua, misitu. Imparate tutto sulle meraviglie della natura che ci circondano. Tutto sulle piante: alberi, fiori, cespugli


  

Moja, Mbili, Tatu…Mamilioni, Mabilioni. Uno, due, tre… Milioni, miliardi


  

  

  

Usikose funzo hili. Jifunze kuhesabu pesa. Non perdete questa lezione. Imparate a contare i soldi


  

Yote yahusio nyekundu, nyeupe na samawati. Tutto sul rosso, bianco e blu


  

Jua vile utakusanyika na watu. Imparate a socializzare con le persone


  

Jinsi ya kuwaelekeza watu walio karibu nawe. Come descrivere le persone intorno a voi  

  

  

  

  

  

Jua unachohitaji kutumia kwa kuosha, kutengeneza, kupalilia. Imparate cosa dovreste usare per le pulizie, riparazioni, giardinaggio


  

Mwili ndicho chombo cha roho. Soma kuhusu miguu, miikono na masikio. Il corpo è il recipiente dell`anima. Imparate tutto su gambe, braccia e orecchie


  

  

  

Funzo la vitamu. Yote kuhusu vitamu ndogo ndogo. Lezione appetitosa. Tutto riguardo alle vostre piccole voglie


  

Sehemu ya pili ya vitamu. Seconda parte della vostra lezione appetitosa


  

Paka na mbwa, Ndege na samaki. Gatti e cani. Uccelli e pesci. Tutto sugli animali