A B C D E F Z H I K L M N O P Q R S T V X

      
  

      
  

      
  

      
  

      
  

      
  

Aedificia, Constitutiones - Majumba, Mashirika

Makanisa, Majumba ya sinema, Stesheni za gari moshi


      
  

Animalia - Wanyama

Paka na mbwa, Ndege na samaki


      
  

Articuli Corporis - Viungo vya mwili

Mwili ndicho chombo cha roho. Soma kuhusu miguu, miikono na masikio


      
  

Autoraeda - Gari

Uko ugenini na unataka kukodisha gari? Lazima ujue pale usukani uko


      
  

Cibus, Bracinae, Culina I - Vyakula, Mikahawa, Jikoni 1

Funzo la vitamu. Yote kuhusu vitamu ndogo ndogo


      
  

      
  

Color - Rangi

Yote yahusio nyekundu, nyeupe na samawati


      
  

      
  

Dimensiones - Kupima, Vipimo

Je unapendelea inchi ama Sentimita? Uko kwa metric bado?


      
  

Disciplina I - Masomo 1

Yote kuhusu shule, chuo , chuo kikuu


      
  

Disciplina II - Masomo 2

Sehemu ya pili ya funzo maarufu kuhusu mifumo ya masomo.      
  

      
  

Familia - Familia

Mama, baba, jamaa. Familia ni muhimu sana maishani


      
  

      
  

Herba, Planta - Mimea

Jifunze kuhusu mazingira yetu. Yote kuhusu mimea: miti, maua, misitu


      
  

      
  

Instrumenta - Vifaa

Jua unachohitaji kutumia kwa kuosha, kutengeneza, kupalilia


      
  

Labor, Negotitatio - Kazi, Biashara, Ofisi

Usifanye kazi sana. Pumzika. Jifunze kuhusu maneno ya kazi


      
  

Ludi, Ars, Musica - Kutumbuizwa, Sanaa, Muziki

Maisha yetu yangekuwaje bila sanaa? Chombo nduni


      
  

Ludi, Requies - Michezo, Michezo, changamko

Furahia, Yote kuhusu soka, sataraji, mkusanyiko wa michezo


      
  

      
  

Motus, Cursus - Kusonga, Pande

Songea pole pole, endesha gari kwa usalama


      
  

Natura - Hulka

Dumisha hulka, mamako!


      
  

Naturales Humani I - Tabia za watu 1

Jinsi ya kuwaelekeza watu walio karibu nawe


      
  

      
  

Numeri - Nambari

Moja, Mbili, Tatu…Mamilioni, Mabilioni      
  

Pecunia, Obsonare - Pesa, Ununuzi

Usikose funzo hili. Jifunze kuhesabu pesa


      
  

Professio - Amali

Ni muhimu sana kuwa na amali ya maana siku hizi. Je, unaweza kuwa mmali bila kujua lugha za kigeni? Ni vigumu mno


      
  

Religio, Civilitas, Exercitus, Scientia - Dini, Siasa, Jeshi, Sayansi

Usikose funzo la maana kushinda yote! Dumisha amani sio vita


      
  

Salus, Medicina, Hygiena - Afya, Dawa, Usafi

Vile unaweza kumuambia daktari kuhusu kichwa chako kuumwa


      
  

Sensus - Hisia, Nadhari

Yote kuhusu upendo, chuki na mguso


      
  

Tempestus - Hali ya hewa

Hakuna hali ya hewa mbaya


      
  

Tempus I - Mda 1

Mda unayoyoma, Hakuna mda wa kupoteza! Jifunze kuhusu mda kupitia mtambo wa Polyglot sasa hivi!


      
  

Tempus II - Mda 2

Usipoteze mda wako. Jifunze maneno mapya


      
  

Urbs, Viae, Vehicula - Jiji, Mitaa, Usafiri

Usipotee kwa jiji kubwa. Uliza vile unaweza kwa jumba la Opera


      
  

Vestes I - Mavazi 1

Vile unapaswa kuvaa ndio uonekane mzuri na ukae na joto


      
  

      
  

Vita, Aevus - Maisha, miaka

Maisha ni mafupi, jifunze kusuhu sehemu zote kuanzia kuzaliwa hadi kifo


Languages

Latin, Swahili, more

Lessons

Latin-Swahili, more