A B C D E F G H I J K L M N O P Q R S T U V W X Y Z

  

Cats and dogs. Birds and fish. All about animals. Paka na mbwa, Ndege na samaki


  

Churches, theatres, train stations, stores. Makanisa, Majumba ya sinema, Stesheni za gari moshi


  

Are you in a foreign country and want to rent a car? You have to know where it has its steering wheel. Uko ugenini na unataka kukodisha gari? Lazima ujue pale usukani uko


  

Do not get lost in a big city. Ask how you can get to the opera house. Usipotee kwa jiji kubwa. Uliza vile unaweza kwa jumba la Opera


  

All about what you put on in order to look nice and stay warm. Vile unapaswa kuvaa ndio uonekane mzuri na ukae na joto


  

  

All about red, white and blue. Yote yahusio nyekundu, nyeupe na samawati


  

All about school, college, university. Yote kuhusu shule, chuo , chuo kikuu


  

Part 2 of our famous lesson about educational processes. Sehemu ya pili ya funzo maarufu kuhusu mifumo ya masomo.


  

What would be our life without art? An empty shell. Maisha yetu yangekuwaje bila sanaa? Chombo nduni


  

Mother, father, relatives. Family is the most important thing in life. Mama, baba, jamaa. Familia ni muhimu sana maishani


  

All about love, hate, smell and touch. Yote kuhusu upendo, chuki na mguso


  

Yummy lesson. All about your favorite, delicious, little cravings. Funzo la vitamu. Yote kuhusu vitamu ndogo ndogo


  

Part two of yummy lesson. Sehemu ya pili ya vitamu


  

Know the world where you live. Jua dunia pale unakaa


  

Know how to socialize with people. Jua vile utakusanyika na watu  

How to tell doctor about your headache. Vile unaweza kumuambia daktari kuhusu kichwa chako kuumwa


  

  

Body is the container for the soul. Learn about legs, arms and ears. Mwili ndicho chombo cha roho. Soma kuhusu miguu, miikono na masikio


  

How to describe people around you. Jinsi ya kuwaelekeza watu walio karibu nawe


  

  

Life is short. Learn all about its stages from birth to death. Maisha ni mafupi, jifunze kusuhu sehemu zote kuanzia kuzaliwa hadi kifo


  

  

Do you prefer inches or centimeters? Are you metric yet?. Je unapendelea inchi ama Sentimita? Uko kwa metric bado?


  

Do not miss this lesson. Learn how to count money. Usikose funzo hili. Jifunze kuhesabu pesa


  

Move slowly, drive safely.. Songea pole pole, endesha gari kwa usalama


  

Preserve nature, your mother!. Dumisha hulka, mamako!


  

One, two, three… Millions, billions. Moja, Mbili, Tatu…Mamilioni, Mabilioni


  

  

Learn about natural wonders surrounding us. All about plants: trees, flowers, bushes. Jifunze kuhusu mazingira yetu. Yote kuhusu mimea: miti, maua, misitu


  

It is very important to have a good profession nowadays. Can you be a professional without knowledge of foreign languages? Hardly!. Ni muhimu sana kuwa na amali ya maana siku hizi. Je, unaweza kuwa mmali bila kujua lugha za kigeni? Ni vigumu mno  

  

Do not miss our most serious lesson of all! Make love not war!. Usikose funzo la maana kushinda yote! Dumisha amani sio vita


  

Have some fun. All about soccer, chess and match collecting. Furahia, Yote kuhusu soka, sataraji, mkusanyiko wa michezo


  

Time is ticking! No time for lingering! Learn about time with Internet Polyglot now!. Mda unayoyoma, Hakuna mda wa kupoteza! Jifunze kuhusu mda kupitia mtambo wa Polyglot sasa hivi!


  

Don`t waste your time! Learn new words. Usipoteze mda wako. Jifunze maneno mapya


  

Know what you should use for cleaning, repair, gardening. Jua unachohitaji kutumia kwa kuosha, kutengeneza, kupalilia


  

  

  

  

  

  

There is no bad weather, all weather is fine.. Hakuna hali ya hewa mbaya


  

Don`t work too hard. Have a rest, learn words about work. Usifanye kazi sana. Pumzika. Jifunze kuhusu maneno ya kazi