Afya, Dawa, Usafi - Health, Medicine, Hygiene

Vile unaweza kumuambia daktari kuhusu kichwa chako kuumwa. How to tell doctor about your headache

mots

      

Amali - Profession

Ni muhimu sana kuwa na amali ya maana siku hizi. Je, unaweza kuwa mmali bila kujua lugha za kigeni? Ni vigumu mno. It is very important to have a good profession nowadays. Can you be a professional without knowledge of foreign languages? Hardly!

mots

      

Dini, Siasa, Jeshi, Sayansi - Religion, Politics, Military, Science

Usikose funzo la maana kushinda yote! Dumisha amani sio vita. Do not miss our most serious lesson of all! Make love not war!

mots

      

Familia - Family

Mama, baba, jamaa. Familia ni muhimu sana maishani. Mother, father, relatives. Family is the most important thing in life

mots

      

Gari - Car

Uko ugenini na unataka kukodisha gari? Lazima ujue pale usukani uko. Are you in a foreign country and want to rent a car? You have to know where it has its steering wheel

mots

      

Geografia: nchi, Majiji… - Geography: Countries, Cities...

Jua dunia pale unakaa. Know the world where you live

mots

      

Hali ya hewa - Weather

Hakuna hali ya hewa mbaya. There is no bad weather, all weather is fine.

mots

      

Hisia, Nadhari - Feelings, Senses

Yote kuhusu upendo, chuki na mguso. All about love, hate, smell and touch

mots

      

Hulka - Nature

Dumisha hulka, mamako!. Preserve nature, your mother!

mots

      

Jiji, Mitaa, Usafiri - City, Streets, Transportation

Usipotee kwa jiji kubwa. Uliza vile unaweza kwa jumba la Opera. Do not get lost in a big city. Ask how you can get to the opera house

mots

      

Kazi, Biashara, Ofisi - Work, Business, Office

Usifanye kazi sana. Pumzika. Jifunze kuhusu maneno ya kazi. Don`t work too hard. Have a rest, learn words about work

mots


      

Kupima, Vipimo - Measures, Measurements

Je unapendelea inchi ama Sentimita? Uko kwa metric bado?. Do you prefer inches or centimeters? Are you metric yet?

mots

      

Kusonga, Pande - Movement, Directions

Songea pole pole, endesha gari kwa usalama. Move slowly, drive safely.

mots

      

Kutumbuizwa, Sanaa, Muziki - Entertainment, Art, Music

Maisha yetu yangekuwaje bila sanaa? Chombo nduni. What would be our life without art? An empty shell

mots

      

Maisha, miaka - Life, Age

Maisha ni mafupi, jifunze kusuhu sehemu zote kuanzia kuzaliwa hadi kifo. Life is short. Learn all about its stages from birth to death

mots

      

Majumba, Mashirika - Buildings, Organizations

Makanisa, Majumba ya sinema, Stesheni za gari moshi. Churches, theatres, train stations, stores

mots

      

Masomo 1 - Education 1

Yote kuhusu shule, chuo , chuo kikuu. All about school, college, university

mots

      

Masomo 2 - Education 2

Sehemu ya pili ya funzo maarufu kuhusu mifumo ya masomo.. Part 2 of our famous lesson about educational processes

mots

      

Mavazi 1 - Clothing 1

Vile unapaswa kuvaa ndio uonekane mzuri na ukae na joto. All about what you put on in order to look nice and stay warm

mots


      

Mda 1 - Time 1

Mda unayoyoma, Hakuna mda wa kupoteza! Jifunze kuhusu mda kupitia mtambo wa Polyglot sasa hivi!. Time is ticking! No time for lingering! Learn about time with Internet Polyglot now!

mots

      

Mda 2 - Time 2

Usipoteze mda wako. Jifunze maneno mapya. Don`t waste your time! Learn new words

mots

      

Michezo, Michezo, changamko - Sports, Games, Hobbies

Furahia, Yote kuhusu soka, sataraji, mkusanyiko wa michezo. Have some fun. All about soccer, chess and match collecting

mots

      

Mimea - Plants

Jifunze kuhusu mazingira yetu. Yote kuhusu mimea: miti, maua, misitu. Learn about natural wonders surrounding us. All about plants: trees, flowers, bushes

mots

      

Nambari - Numbers

Moja, Mbili, Tatu…Mamilioni, Mabilioni. One, two, three… Millions, billions

mots      

Pesa, Ununuzi - Money, Shopping

Usikose funzo hili. Jifunze kuhesabu pesa. Do not miss this lesson. Learn how to count money

mots

      

Rangi - Colors

Yote yahusio nyekundu, nyeupe na samawati. All about red, white and blue

mots

      

Salamu, Maombi, Makaribisho, Maagano - Greetings, Requests, Welcomes, Farewells

Jua vile utakusanyika na watu. Know how to socialize with people

mots

      

Tabia za watu 1 - Human Characteristics 1

Jinsi ya kuwaelekeza watu walio karibu nawe. How to describe people around you

mots


      

Vifaa - Tools

Jua unachohitaji kutumia kwa kuosha, kutengeneza, kupalilia. Know what you should use for cleaning, repair, gardening

mots

      

Viungo vya mwili - Human Body Parts

Mwili ndicho chombo cha roho. Soma kuhusu miguu, miikono na masikio. Body is the container for the soul. Learn about legs, arms and ears

mots      

Vyakula, Mikahawa, Jikoni 1 - Food, Restaurants, Kitchen 1

Funzo la vitamu. Yote kuhusu vitamu ndogo ndogo. Yummy lesson. All about your favorite, delicious, little cravings

mots

      

Vyakula, Mikahawa, Jikoni 2 - Food, Restaurants, Kitchen 2

Sehemu ya pili ya vitamu. Part two of yummy lesson

mots

      

Wanyama - Animals

Paka na mbwa, Ndege na samaki. Cats and dogs. Birds and fish. All about animals

mots


Languages: Swahili, Anglais, more...
Leçons: Swahili-Anglais, more...