English Español Français 中文 Deutsch 日本語 Italiano Nederlands Русский Português Ελληνικά العربية ไทย Polski Tagalog Svenska Română Norsk Türkçe Suomi Dansk Indonesian Čeština Magyar Українська Български

Lessons: Swahili - English

  Afya, Dawa, Usafi - Health, Medicine, Hygiene
  (Vile unaweza kumuambia daktari kuhusu kichwa chako kuumwa. How to tell doctor about your headache)


  Amali - Profession
  (Ni muhimu sana kuwa na amali ya maana siku hizi. Je, unaweza kuwa mmali bila kujua lugha za kigeni? Ni vigumu mno. It is very important to have a good profession nowadays. Can you be a professional without knowledge of foreign languages? Hardly!)

  Dini, Siasa, Jeshi, Sayansi - Religion, Politics, Military, Science
  (Usikose funzo la maana kushinda yote! Dumisha amani sio vita. Do not miss our most serious lesson of all! Make love not war!)

  Familia - Family
  (Mama, baba, jamaa. Familia ni muhimu sana maishani. Mother, father, relatives. Family is the most important thing in life)

  Gari - Car
  (Uko ugenini na unataka kukodisha gari? Lazima ujue pale usukani uko. Are you in a foreign country and want to rent a car? You have to know where it has its steering wheel)

  Geografia: nchi, Majiji… - Geography: Countries, Cities...
  (Jua dunia pale unakaa. Know the world where you live)

  Hali ya hewa - Weather
  (Hakuna hali ya hewa mbaya. There is no bad weather, all weather is fine.)

  Hisia, Nadhari - Feelings, Senses
  (Yote kuhusu upendo, chuki na mguso. All about love, hate, smell and touch)

  Hulka - Nature
  (Dumisha hulka, mamako!. Preserve nature, your mother!)


  Jiji, Mitaa, Usafiri - City, Streets, Transportation
  (Usipotee kwa jiji kubwa. Uliza vile unaweza kwa jumba la Opera. Do not get lost in a big city. Ask how you can get to the opera house)

  Kazi, Biashara, Ofisi - Work, Business, Office
  (Usifanye kazi sana. Pumzika. Jifunze kuhusu maneno ya kazi. Don`t work too hard. Have a rest, learn words about work)


  Kupima, Vipimo - Measures, Measurements
  (Je unapendelea inchi ama Sentimita? Uko kwa metric bado?. Do you prefer inches or centimeters? Are you metric yet?)

  Kusonga, Pande - Movement, Directions
  (Songea pole pole, endesha gari kwa usalama. Move slowly, drive safely.)

  Kutumbuizwa, Sanaa, Muziki - Entertainment, Art, Music
  (Maisha yetu yangekuwaje bila sanaa? Chombo nduni. What would be our life without art? An empty shell)

  Maisha, miaka - Life, Age
  (Maisha ni mafupi, jifunze kusuhu sehemu zote kuanzia kuzaliwa hadi kifo. Life is short. Learn all about its stages from birth to death)

  Majumba, Mashirika - Buildings, Organizations
  (Makanisa, Majumba ya sinema, Stesheni za gari moshi. Churches, theatres, train stations, stores)

  Masomo 1 - Education 1
  (Yote kuhusu shule, chuo , chuo kikuu. All about school, college, university)

  Masomo 2 - Education 2
  (Sehemu ya pili ya funzo maarufu kuhusu mifumo ya masomo.. Part 2 of our famous lesson about educational processes)

  Mavazi 1 - Clothing 1
  (Vile unapaswa kuvaa ndio uonekane mzuri na ukae na joto. All about what you put on in order to look nice and stay warm)

  Mavazi 2 - Clothing 2
  Mda 1 - Time 1
  (Mda unayoyoma, Hakuna mda wa kupoteza! Jifunze kuhusu mda kupitia mtambo wa Polyglot sasa hivi!. Time is ticking! No time for lingering! Learn about time with Internet Polyglot now!)

  Mda 2 - Time 2
  (Usipoteze mda wako. Jifunze maneno mapya. Don`t waste your time! Learn new words)


  Michezo, Michezo, changamko - Sports, Games, Hobbies
  (Furahia, Yote kuhusu soka, sataraji, mkusanyiko wa michezo. Have some fun. All about soccer, chess and match collecting)

  Mimea - Plants
  (Jifunze kuhusu mazingira yetu. Yote kuhusu mimea: miti, maua, misitu. Learn about natural wonders surrounding us. All about plants: trees, flowers, bushes)

  Nambari - Numbers
  (Moja, Mbili, Tatu…Mamilioni, Mabilioni. One, two, three… Millions, billions)

  Nyenzo, nyenzo, vitu, vifaa - Materials, Substances, Objects, Tools
  Nyumba, Fanicha, Samani za nyumba - House, Furniture, and Household Objects
  Pesa, Ununuzi - Money, Shopping
  (Usikose funzo hili. Jifunze kuhesabu pesa. Do not miss this lesson. Learn how to count money)

  Rangi - Colors
  (Yote yahusio nyekundu, nyeupe na samawati. All about red, white and blue)

  Salamu, Maombi, Makaribisho, Maagano - Greetings, Requests, Welcomes, Farewells
  (Jua vile utakusanyika na watu. Know how to socialize with people)

  Tabia za watu 1 - Human Characteristics 1
  (Jinsi ya kuwaelekeza watu walio karibu nawe. How to describe people around you)

  Tabia za watu 2 - Human Characteristics 2
  Viarifa Mbalimbali 1 - Various Verbs 1
  Viarifa Mbalimbali 2 - Various Verbs 2
  Vielezi Mbalimbali 1 - Various Adverbs 1
  Vielezi Mbalimbali 2 - Various Adverbs 2

  Vifaa - Tools
  (Jua unachohitaji kutumia kwa kuosha, kutengeneza, kupalilia. Know what you should use for cleaning, repair, gardening)

  Viungo vya mwili - Human Body Parts
  (Mwili ndicho chombo cha roho. Soma kuhusu miguu, miikono na masikio. Body is the container for the soul. Learn about legs, arms and ears)

  Vivumishi Mbalimbali - Various Adjectives
  Viwakilishi, Viungo, Vijina - Pronouns, Conjunctions, Prepositions
  Vyakula, Mikahawa, Jikoni 1 - Food, Restaurants, Kitchen 1
  (Funzo la vitamu. Yote kuhusu vitamu ndogo ndogo. Yummy lesson. All about your favorite, delicious, little cravings)

  Vyakula, Mikahawa, Jikoni 2 - Food, Restaurants, Kitchen 2
  (Sehemu ya pili ya vitamu. Part two of yummy lesson)

  Wanyama - Animals
  (Paka na mbwa, Ndege na samaki. Cats and dogs. Birds and fish. All about animals)

  Watu: Jamaa, Marafiki, Maadui - People: Relatives, Friends, Enemies…
44 lessons found, displaying all lessons.